Wednesday, March 18, 2015

NITAKUJAJE...

NAFIKILIA UJIO MPYA BAADA YA KUPOTEA KWAMDA MREFU BLOG YAKO  PENDWA         "mcgarab.com"
 
Unaweza shiriki nasi kwa kutupa maoni yako pia wewe Shabiki yetu na mdau jinsi vile ungependa sisi tuludi tena hewani kwa mara nyingine tena.
 
Call:0714 637457
        0767 637457
 
               grugalabamu@yahoo.com
               grugalabamu@gmail.com
 
Facebook: Gara B Kubwa
                              facebook.com/mc-garab
 
Instagram @McGaraB
 
ASANTENI SANA NA KAIBUNI SANA.
Coming Soon.
 
 
 
 
 

Monday, January 13, 2014

PICHA ZA MZAHA ZILIZOSAMBAZWA MITANDAONI BAADA YA RAIS JK KUTANGAZA MAPUMZIKO J3.

Hii ya mwisho eti ni baada ya Mh Rais JK kukasirika na mizaha hiyo apo juu. Nahuo ndo uamuzi alioutoa.
Hahahaa watu wako fasta sana sikuiz na mitandao.
Je kuna ambayo umekutana nayo na haipo apa.Basi tutumie kwenye email address godfrey@mcgarab.com 
au tuma kwenye Whatsapp No 0714 637457.

Monday, January 6, 2014

NIFURAHA TUPU SHEREHE YA HARUSI YA RUSAJO NA ELIZA ILIYOFANYIKA MSIMBAZI CENTER.

McGaraB.

Habari wadau,Natumai mu wazima na mnaendeleza libeneke la kulijenga Taifa na maisha yetu kwa ujumla.
Leo nakuletea picha za Sherehe ya Harusi ya Mr Rusajo kijana wa Kinyakyusa na mkewe Elizabeth mtoto wa Kisukuma all the way from Mwanza.Iliyofanyika viwanja vya Msimbazi Centre na kwa uwezo wa Mwenyezi niliiongoza vyema mwanzo mwisho nakufanya kua Usiku wa kukumbukwa kwa Maharusi wenyewe,Familia na Wageni wote waliohudhuria. 

Karibu Tu Enjoy pamoja picha za shughuli yenyewe chini ya Usimamizi mzuri wa McGaraB.Nakumbuka siku Hii Mnyama (Simba) alimchapa mpinzani Mtani (Yanga) 3-1 "Mtani Jembe" unakumbukaa raha ilianzia apo sasa. Twende kazi.
 

The Opening.
Mades wakiingia kwa mbwembwe/Swag za "Skelewu"
Best na Matron walitangulia kabla ya maharusi.
BiHarusi Elizabeth akiwa nakoti la shemeji mkononi .Alitangulia kabla ya Rusajo.
 
Mawifi wakimsindikiza BoHarusi.
 Baba Mwenye Nyumba anaingia sasa Mr Rusajo.
 


Eliza Akimpokea Mmewe kwa kumvisha Koti.
 
SMILE..Mapenzi tele kwa maharusi wangu Mr & Mrs Rusajo.
 
Champagne time.


Whaaoo!!Tuchat Kidogo.
 

0 Distance Now.


Zawadi na Mkono wa Kheri.
 
Burudani inachukua sehemu kubwa sana mwisho wa siku.Manenoneno mingi ya kazi gani..Hahahaa...

McGaraB Entertainment inawatakia kheri na fanaka tele familia hii mpya ya Mr and Mrs Rusajo Mwasaga.Tunashukuru sana kwakua sehemu ya waoa huduma katika siku yao hii nzuri ya kukumbukwa.

Contact.
0714-637457
0767-637457
Email:godfrey@mcgarab.com